Ushauri wa Jumla wa Biashara
Mwongozo wa kitaalamu kuhusu mkakati, muundo na maamuzi ya biashara yako.
Sisi ni wataalamu wa kodi, uhasibu, bookkeeping na ukaguzi (auditing) — pamoja na usajili wa biashara, leseni, compliance na ushauri wa kampuni nchini Tanzania. Tunakusaidia kuanzisha, kuendesha na kulinda biashara yako kwa weledi mkubwa.
Bei zilizo wazi. Utekelezaji wa kitaalamu. Msaada kamili kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Mwongozo wa kitaalamu kuhusu mkakati, muundo na maamuzi ya biashara yako.
Tathmini ya kina ya eneo lako la biashara.
Mpango wa biashara kwa mtu binafsi au kampuni.
Sajili jina la biashara yako kwa haraka na kisheria.
Uandishi na usanifu wa kitaalamu wa wasifu wa kampuni.
Msaada kamili wa kufunga kampuni kisheria.
Usajili kamili wa kampuni ukiwa na MEMART au bila.
Kuachana na shughuli za biashara kwa mujibu wa sheria.
Usajili wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi.
Usajili wa mwajiri kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii.
Uandishi wa Memorandum & Articles of Association.
Uandaaji na ukaguzi wa nyaraka na mikataba.
Leseni za TAUSI na BRELA.
Uhuishaji wa leseni kila mwaka kwa ukamilifu.
Uwasilishaji wa wamiliki halali kwa BRELA.
Sasisha taarifa za kampuni yako BRELA.
Utafutaji rasmi na uthibitisho wa kampuni.
Hifadhi jina la kampuni yako BRELA.
Mafunzo kwa timu yako kuhusu sheria na kanuni.
Uwasilishaji wa PAYE, SDL na VAT.
Majibu ya kitaalamu kwa examinations za TRA.
Uwakilishi katika rufaa na pingamizi za kodi.
Maombi ya kuondolewa adhabu na riba.
Usajili wa Namba ya Mlipa Kodi (TIN).
Usajili kamili wa VAT.
Pata cheti cha tax clearance haraka.
Usajili wa mashine ya EFD.
Kurekebisha na kupatanisha makosa ya filing/kodi.
Uchambuzi wa kina wa hali ya kodi.
Makadirio sahihi ya kodi kwa biashara yako.
Taarifa za fedha tayari kwa ukaguzi.
Annual returns kwa usahihi na kwa wakati.
Jaza fomu fupi hapa chini — timu yetu itakujibu ndani ya saa 24.